NAJUTA KUZALIWA MWANAMKE 14
NAJUTA KUZALIWA MWANAMKE 14
ILIPOISHIA……………………………………………………………………………………………………………………….
Wananchi waliamua kuweka wazi maovu ya mama shushu kumbe kipindi chote mama shushu aliwatisha sana watu na wengine aliwaua ‘’
Kambi ilivamiwa ,,wananchi walizama na marangu ,mama shushu alijificha chini kabisa
Ila kwa haraka alionekana ,wananchi walianza kumpiga kwa mawe ,,mama shushu alipigwa sana ,polisi waliingilia kati ila hali ya mama shushu ilikua mbaya sana ,,,wananchi bado walikua wana hasira akiwa anapandishwa ndani ya gari walimpiga majabali ,.,,,,huwezi amini mama shushu alifia pale pale ,kifo cha mbwa mwizi ,ama kweli kila ubaya una mwisho
Wanawake wote walioshikiliwa na mama shushu waikua huru ,,,jesca nae aliweza kutoka taratibu katika kambi ile
Emmy mtoto wa kiongozi alipatikana hakika ilikua furaha kubwa sana ,kikubwa zaidi ni kutambua kuwa mama shushu kafa tayari
Jesca alinyanyuka hali akiwa mchovu kwa ajili ya kuondoka sehemu ile
Jesca alichomshukuru sana Mungu ni kitendo cha yey kuwa mzima pia mtoto aliyetumboni
Jesca alianza kuzunguka mitaani asijue wapi kwa kwenda ,,,,jesca akiwa anazunguka ghafla alisikia sauti kubwa
``jescaaaaaaaaaaaaaaaaa’’
Jesca alishtuka sana kwani hakujua ni nani anamwita na ni nini ataambiwa
JESCA alpiogeuka nyuma hakuamini macho yake alikua ni wifi yake cathe
Jesca alifurahi alijua hapa atasaidika japo kwa mawazo au kwa njia yoyote ile ,jesca alipendana na cathe anakumbuka kipindi kile ,familia nzima wanamfukuza ila wifi ake alionyesha moyo wa ajabu sana wa kumsaidia ,,,,,
Jesca taratibu alisoge kumfuata wifi ake ,,,cathe alipomwona wifi yake akiwa anakuja alijikuta akitokwa na machozi huku akisema
``laity kama kaka yangu Hussein angefufuka kutoka kaburini aone kipenzi chake anavyoteseka ‘’
Mimba ya jesca ilikua ishaanza kuonekana kwa ukubwa kabisa ,jesca alikua amechoka nywele zake zimefumuka fumuka kama kichaa ,hakika kila mtu aliyemwona alijikuta akimwonea huruma ,sema kwa haraka ulikua ukimtazama uliweza kufikiri ni chizi ila haikuwa hivyo ,jesca alibeba pochi yake na kumfuatwa wifi yake
Jesca alimkumbatia kwa furaha ,cathe wakati wote alikua akilia tu kwani alijua wazi kuwa si halali kwa jesca kuishi maisha ya tabu kama yale ,,kutokana na wingi wa fedha wa marehemu mumewe angepaswa kuwa mbali’
Jesca akiwa amekumbatiana na wifi yake cathe ghafla mama mkwe na baba mkwe walitokeza hapo
Walichokiona kiliwashangaza ,baba mkwe alijikuta akiingiwa na huruma sana alimsalimu jesca
``hujambo mwanangu’’ mama mkwe aliposikia hivyo alimtupia mume wake jicho kali
Hakumsemesha chochote alisogea pembeni
Baba mkwe wa jesca kuona hivyo alimfuata mke wake pembeni na kumwambia
``mama nakuomba tafadhali huyu binti tumchukue turudi nae nyumbani tutajitafutia laana buree’’
Mama alipayuka na kutukana kwa nguvu
``nasema fanyaaaaaaa ufanyavyooooooooooo’’
Baba mkwe wa jesca aliwasha gari alimwambia cathe amchukue wifi ake waondoke
Mama mkwe kuona hivyo kwa hasira aliondoka kuliko apande gari moja na jesca ni mara mia apande daladala ,hakika mama mkwe alikua na dharau kupindkia
Alitema mate chini kama vile kinyesi pindi alipomwona jesca
Walipofika nyumbani jesca alifurahi kuyaona mazingira yale tena kilichomuuma zaidi alimkumbuka sana Hussein mume wake pia alikumbuka sana siku hiyo alivyofukuzwa kama mbwa na mama mkwe wake
Jesca aliaelekea bafuni kuoga kwani alikua amechafuka kupindukia
.
Mama mkwe alipofika aliingia nyumbani hapo kama mtu aliyechanganyikiwa alipitiliza moja kwa moja hadi sebuleni huku akitukana
``yuko wapi huyu kikaragosi ,ole wenu muwe mmemchukua ,sasa leo mimi mwenyewe kwa mikono yangu nammalizia ,mnamleta kahaba huku nyumbani ,hakika nasema kuliko jesca aishi hapa ni heri nife narudia tena labda niwe nimekufa ‘’
Baba mkwe wa jesca akiwa chumbani alisikia kelele za mke wake ,taratibu alitoka nje
``mke wangu nini shida mbona kelele nyingi ‘’
``nakuuliza jesca yuko wapi’’
Baba mkwe bila tatizo alijibu
``yupo bafuni anaoga ‘’
Mama mkwe alitoka kwa hasira kuelekea bafuni aliona akimsubiri atoke atachelewa
Cathe kuona hivyo alimkimbilia mama yake kwani alijua lazima wifi yake atadhurika kwani wifi yake ni mjamzito
Mama mkwe kuona cathe namfuata nyuma alishika chupa ya soda iliyokuwa pembeni alimzibua ya uso
Paaah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! cathe alidondoka chini nakuzimia
Upande wa pili jesca akiwa bafuni anaogoa ,alisikia malumbano ila hakujua ni nini kinaendelea
Mara alisikia mlango ukigongwa ,kabla hajajibu chochote ,mlango ulifunguliwa
Jesca akiwa uchi wa mnyama alijaribu kujisitiri ,alipoinua macho yake juu aligongana ana kwa ana na mama mkwe wake
Mama mkwe alianza kumgombeza jesca
``wewe kahaba si ulishafukuzwa hapa ,,nini kimekuleta na kwambia ,nini kimekuleta ‘’
Jesca akiwa anamtazama mama mkwe wake alipigwa kofi moja zito
Machozi yalimwagika kama mvua ,jesca alinyamazama kimya
Mama mkwe aliushika mkono wa jesca na kumkokota hadi chumbani
Jesca alitulia kimya huku akitokwa na machozi kama mvua
Mama mkwe alimwingiza kwenye chumba ambacho Hussein aliwahi kumwambia jesca kuwa chumba hicho ni stoo
Mama mkwe alimwingiza jesca ndani
Ndani ya stoo ile kulikua na vyuma nyaya za umeme
Mama mkwe alianza kusema
``sasa leo ndio utanitambua mimi ni nani ‘’
Jesca alicaharazwa na nyaya za umeme ,alipigwa sana
Alipiga kelele ila mama mkwe aliendelea kumpiga
Jesca kutokana na uchovu na upungufu wa chakula alidondoka chini mama mkwe alishika chuma kubwa akaanza kutoboa toboa tumboni huku akisema
``kahaba wewe unajazwa mimvba huko unasema ni ya mwanangu sasa leo natoboa toboa hadi afe kabisa ,toka lini mwanangu azae na kahaba mshenzi kabisa ,’’
Kelele za jesca zilivuta watu wengi ,majirani na wapitaji baba mkwe hakuweza kuangalia ni nini kwani alikua akimhudumia binti yake cathe aliyepigwa chupa ya uso
Mama mkwe kuona watu wamekusanyika
Alifungua mlango na kutoka mwenyewe
Je nini kitafanyika
Fuatailia
No comments