NAJUTA KUZALIWA MWANAMKE 13
Upande wa pili vijana wa mama shushu mchana ule walikua wamevamia mitaa ya matajiri kwa ajili ya kuteka watoto ili wawafanye makahaba ,kwa mbali waliona msichana mzuri sana akiwa na kaka yake wakiwa wanacheza magemu ndani ya geti la nyumba yao ,watoto hao walikuwa ni watoto wakishua walikuwa ni matajiri sana
Masoya kijana wa mama shushu alituliza gari na kuzama ndani ya uzio alichokifanya alipowakaribia watoto wale alimwasha mtoto Yule wa kiume bastola ya kichwa na kumdaka Yule wa kike ,alimziba mdomo ili asipige kelele
Mtoto yulen wa kiume alifia pale pale walimkamata dada yake tayari kwa ajili ya kumpeleka kwa mama shushu
Msichana Yule alilia sana kwani alishuhudia kifo cha kaka yake ,pia hakujua wapi anapelekwa
Mzee derrick baba wa watoto wale alitoka nje kwa furaha akisema
``woooooo my son and daughter nipo na zawadiiii njooni wanangu ‘’
Mzee derrick alishangaa wanae wapo kimya aliingiwa na hofu wala kelele zao hazikusiskika
Alipotoka nje na kuangalia kwenye majani ya ukoka alikuta simu zenye magemu zipo chini ,taratibu alisogea ,,,mzee Yule alichokiona miguu iliishiwa nguvu ,kijana ake wa pekee wa kiume alikua chini kichwa chake kikiwa kimepasuliwa na risasi
Mzee Yule alipiga kelele ``MUngu wanguuuu eee kwanini umeruhusu hili ‘’
Dakika mbili watu walifurika pale ,mama yao na watoto wale alipofika pale alizimia hapo hapo
Upande mwingine jesca aliitwa na bibi tayari kwa ajili ya kula chakula
Jesca alisogelea meza akashika kijiko chake kwa matamanio makubwa ya kula kwani toka asubuhi hakuwa amekula
Je nini kitaendeleaaaa
Jesca akiwa anapeleka kijiko mdomo alishikwa na kichefuchefu alitapika pale pale ,huwezi amini hamu yote ya kula ilikata pale pale ,ghafla alishikwa na kizunguzungu
Mama shushu aliitwa na wafanyakazi kumtazama jesca
Kwa mshangao mama shushu alipomwona jesca akiwa chini alijikuta akiongea kwa nguvu
``vipi ile sumu mliweka kwenye chakula ‘’
Bibi Yule alijibu
``ndio mkuu sema hakula chakula nadhani itakuwa ni tatizo jingine ‘’’
Jesca kumbe alikua hajazimia hivyo alinyanyuka kwa kujishikiza taratibu sema kila kitu walichokuwa wakizungumza aliweza kukisikia hivyo alibaini ya kuwa wanataka kukiua kichaga chake tumboni kwa sumu ,jesca alitulia kama hakusikia vile ila alijisemea moyoni ‘’
``kuanzia sasa napaswa nisile chochote kabisa Duuh kama wanataka kuniulia hadi hiki nacho thamini ‘’
Akiwa chumbani jesca alishika tumbo lake huku akisema
``Mungu naamini nitakuwa salama na siku moja nikiwa na huyu mwanangu aliye tumboni nitashuhudia ukuu wako baba,,,,,mwanangu tulia nipo natimiza ahadi ya marehemu baba yako sawa ‘’
Jesca aliongea mwenyewe kama mwendawazimu Kwani alikua na uchungu sana
Upande wa pili binti Yule aliyetekwa kutoka familia ile ya kitajiri aliletwa moja kwa moja hadi mbele za mama shushu
Mtoto Yule alikua akilia sana
``Mnanifanyaje hapa ni wapi mama ,,Mungu nisaidie ,mtoto Yule alilia sana ‘’
Mama shushu alimtazama kisha akacheka
``hhahahah hapa ni wapi hahaha kwa bibi ako ‘’
Binti Yule alikua amelelewa mazingira ya kitajiri hivyo alikua na kiburi sana
Alijikuta akimjibu mama shushu ``muone huyu na mashavu yake kama panya mwenye mimba ‘’
Mama shshu alisimama na kumzaba emmy kofi moja la nguvu
Mtoto emmy alilia sana alijuta ni kwa nini amefanya hivyo
Binti Yule alichukuliwa na kupelekwa nyumba ya mauzo
Mama shushu aliwaita vijana wake masoye na mwarumi na kuwapongeza aliwaambia
``asee nyie ni noma huyu binti ,mliyemleta ni mbichi mbichi kabisa atatufaa tena huyu uwanamke wake bado upo nadhani atakua bikra ,,,bei ya bikra ni laki tano hahahahaha huhuhuhuuuuu mtakunywa bia vijana wangu’’
Ilipofika majira ya jioni matajiri walifika kambini walipitiliza kila mmoja alitamani kulala na emmy binti mpya
Emmy alichukuliwa na babu mmoja tajiri sana ,emmy alishangaa anapelekwa ndani ya chumba cha siri akiwa na babu ,mzee mzima ,,,emmy alivuliwa nguo kwa fujo ,alipiga kelele ila hakuna aliyemsikiliza ,kwa mara ya kwanza emmy alitolewa usichana wake akiwa katika kambi ya makahaba ;’’
Emmy aliwatisha sana wafanyakazi wale aliwaambia `nyie hamumjui baba yangu hapa lazima mtakamatwa yaan mnaniteka mimi??’’
Kila mtu alicheka
``hahahah mama hii kambi hagusi mtu hapa hadi polisi wanaiogopa’’
Upande wa pili mzee derrick baba yake emmy aliyetekwa aliitisha ukaguzi ndani ya jiji zima kutokana na cheo na nyazfa kubwa katika taifa aliweza kuitisha msako mkubwa ,pia alitoa donge nono kwa atakaye baini ni wapi mwanae yupo
Mzee derrick alikuwa ni msimamizi mkuu wa nyaraka za serikali yaan kumbukumbu muhimu za nchi alilipwa hela nyingi kwa kutunza nyaraka hivyo alikua ni tajiri mkubwa
Msako uliendelea kila mahali
Siku moja mama shushu akiwa na vijana wake wa kazi pamoja na makahaba alisikia mlio wa defenda ya polisi ,pia alisikia sauti za wananchi
``tunasema leo mwisho ,,umetutesa sana umetutisha sana ,hatuogopi kufa tumeuweka wazi ukweli ,umetuulia wenetu ,utuharibia wenetu’’
Wananchi waliamua kuweka wazi maovu ya mama shushu kumbe kipindi chote mama shushu aliwatisha sana watu na wengine aliwaua ‘’
Kambi ilivamiwa ,,wananchi walizama na marangu ,mama shushu alijificha chini kabisa
Ila kwa haraka alionekana ,wananchi walianza kumpiga kwa mawe ,,mama shushu alipigwa sana ,polisi waliingilia kati ila hali ya mama shushu ilikua mbaya sana ,,,wananchi bado walikua wana hasira akiwa anapandishwa ndani ya gari walimpiga majabali ,.,,,,huwezi amini mama shushu alifia pale pale ,kifo cha mbwa mwizi ,ama kweli kila ubaya una mwisho
Wanawake wote walioshikiliwa na mama shushu waikua huru ,,,jesca nae aliweza kutoka taratibu katika kambi ile
Emmy mtoto wa kiongozi alipatikana hakika ilikua furaha kubwa sana ,kikubwa zaidi ni kutambua kuwa mama shushu kafa tayari
Jesca alinyanyuka hali akiwa mchovu kwa ajili ya kuondoka sehemu ile
Jesca alichomshukuru sana Mungu ni kitendo cha yey kuwa mzima pia mtoto aliyetumboni
Jesca alianza kuzunguka mitaani asijue wapi kwa kwenda ,,,,jesca akiwa anazunguka ghafla alisikia sauti kubwa
``jescaaaaaaaaaaaaaaaaa’’
Jesca alishtuka sana kwani hakujua ni nani anamwita na ni nini ataambiwa
Je nini kitaendelea
………………………………………
No comments