Zaidi ya wakulima 26 wa zabibu mkoani Dodoma wameilalamikia kampuni ya Dane Holdings Limited ya Nkulabi Village kwa kutowalipa fedha zao zaidi ya Sh. 200 milioni wanazodai. Wakulima hao wamedai ni zaidi ya miezi minne toka waiuzie kampuni hiyo zabibu lakini hawajalipwa fedha zao.
No comments