Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe.Philip Mangula amewataka vijana wanaopata nafasi za mafunzo kwenye vyuo mbalimbali nchini kuachana na mawazo ya kuajiriwa badala yake wajikite kusaka maarifa na taarifa ili ziwasaidie kujiajiri. Nini maoni yako
No comments