AIBU YA MAITI AIJUA MWOSHA
Waswahili wanapofiliwa na mtu wao, humwosha kabla ya kumzika, mtu anayefanya kazi hiyo ya kuosha huitwa 'mwosha', na kwa kuwa yeye peke yake ndiye anayeruhusiwa kuuona mwili wa maiti (iwapo ni dharula) basi yeye ndiye awezaye kuiona aibu yoyote atakayokuwa nayo huyo maiti.
Methali hii hutumiwa kuonyesha kwamba anayejua aibu au matusi ya mtu yeyote ni yule aliye karibu naye.
Ahsante
No comments