CORONA VIRUS MTU WA KWANZA ATHIBITISHWA KENYA
Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya. Wizara ya afya imethibitisha kisa hicho kulingana na waziri wa afya Mutahi Kagwe.
Akiizungumza na vyombo vya habari waziri huyo amesema kwamba kisa hicho kilithibitisha Alhamisi usiku.
Waziri huyo amesema kwamba kisa hicho ni cha kwanza kuripotiwa nchini Kenya tangu kuzuka kwa mlipuko huo mjini Wuhan nchini China.
Kisa hicho ni cha raia wa Kenya aliyewasli humu nchini kutoka Marekani
No comments