Mtu aliyepigwa na mvua ndiye anayeweza kueleza vizuri ilivyompiga. Methali hii hutumiwa kuonyesha kwamba yule aliyepatwa na jambo, liwe zuri au baya, ndiye anayelijua vizuri, au ukimuona mtu analieleza vizuri jambo fulani, basi jua kuwa lishampata.
No comments