BREAKING: Rais wa Pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amefariki dunia > Rais Uhuru Kenyatta amewatangazia wananchi wa Kenya asubuhi ya leo > Moi amefariki akiwa na umri wa miaka 95
No comments