BERNARD MEMBE YUSUF MAKAMBA Abdulrahman Kinana BREAKING NEWS : Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewaita kwenye Kamati ya Usalama na Maadili ya Taifa ya chama hicho, wanachama wake watatu ambao ni Abdulrahman Kinana, Yusuf Makamba na Benard Membe ili kujibu tuhuma zinazowakabili.
No comments