BADILI MUONEKANO WA ANDROID YAKO KUWA WINDOWS 10

Morning wadau wangu wa nguvu natumaini mko poa. Nawatakia Christmas njema na heri ya mwaka mpya tunapojiandaa kuupokea.
  Leo master pizo nawaletea kitu kimoja kizuri sana kwa watumiaji wa android haya ni maujanja ujanja katika ulimwengu wa wajanja  na nitaendelea kukuetea vitu vizito zaidi.  Bila kupoteza muda leo nitakuonyesha app ambayo itabadili muonekano wa kawaida wasimu yako kuwa muonekano computer inayotumia window 10  na itaonekana kama hapo kwenye picha 👇

Hapo safi eeee 😂  na hapa je 👇
Hapo naona safi sasa

Ili kuipata app hiyo unatakiwa kubonyeza  hapo ➡ Download here

Maliza mwaka vyema ukiwa super   usisahau kuweka comment yako hapo chini

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.