MADAI YA MIKOPO: RAIS WA WANAFUNZI UDSM ASIMAMISHWA MASOMO KWA MUDA USIOJULIKANA > Aliyesimamishwa ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi (DARUSO), Hamis Musa Hamis > Waziri wa Elimu alikipa Chuo hicho saa 24 kuwachukulia hatua wanafunzi waliotoa tamko kinyume cha utaratibu
No comments