MAPAMBANO DHIDI YA #CORONA YAANZA KUZAA MATUNDA

 MAAMBUKIZI MAPYA YAPUNGUA KWA 80%

 Wataalamu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), wamesema wiki 2 zilizopita China, kila siku wagonjwa wapya zaidi 2,000 waliripotiwa lakini idadi ya wagonjwa waliothibitishwa jana ilikuwa 416, ambayo imepungua kwa 80%

 Hatua zinazochukuliwa na China kuhamasisha Serikali na watu wote katika jamii kupambana na #coronavirus, zimezuia maelfu ya wagonjwa wapya kutokea

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.