KWA KALENDA YA JULIUS LEO NI TAREHE 15

Inashangaza kwa kaeldna ya Gregory mkuu ambayo wengi tunaitumia leo ni Februari 29, 2020 lakini kwa kalenda ya Julius leo ni Februari 15

Kalend tunayoitumia inaitwa Greogarian Kalenda kwa sababu ya mchango wake kuhusu ile robo ambayo inakosekana kwenye kalenda ya Kaisari Julius

Papa Gregory XIII alitambulisha robo hiyo mwaka 1582. Watu walilala oktoba 4, 1582 wakaamka kesho yake ikawa octoba 15, 1582, ilifanyika hivyo ili kuifidie zile robo zilizopotea tangu kuundwa kwa kalenda ya Julius mwaka 46BCE

Tangu hapo hadi leo kalenda ya Julius na Grogory ikawa inatofautiana kwa siku. Kalenda ya Julius inakubalika kwa Oriental na Eastern Orthodox, baadhi ya wakazi wa Afrika Kaskazini ‘berbers

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.