Siku 20 zaongezwa usajili kwa alama za vidole
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole
No comments