Mwili wa aliyekuwa Rais wa pili wa Kenya Daniel Arap Moi umepelekwa katika majengo ya bunge nchini humo, ambapo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atawaongoza Wakenya kutoa heshima za mwisho hii leo, Moi alifariki dunia, Februari 04, 2020 Hospitali ya Nairobi.
No comments