UKRAINE YAKANUSHA AJALI YA NDEGE HAIHUSISHI MZOZO WA IRAN NA USA

Serikali ya Ukraine imekanusha kuwepo kwa uhusiano kati ya ajali ya Ndege aina ya Boeing-737 iliyoanguka Iran muda mfupi baada ya kuanza safari katika uwanja wa ndege wa Imam Khomeini mjini Tehran na mzozo uliopo kati ya Iran na Marekani kwakuwa hakuna ushahidi wowote.

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.