MKE WA MAREHEMU KOBE BRYANT AANDIKA KATIKA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM KWA MARA YA KWANZA TANGU ALIPOPATA MSIBA
Mjane huyo mke wa Kobe alituma ujumbe wake wa kwanza katika mtandao wa kijamii wa instagram.
"Mimi na wasichana wangu tunataka kuwashukuru sana mamilioni ya watu ambao wameonyesha msaada na upendo wakati huu wa huzuni. Asante kwa maombi yote".
"Tumeumizwa kabisa kumpoteza mume wangu Kobe - Baba wa kushangaza kwa watoto wetu na binti yangu mzuri, gianna- binti mwenye upendo, mwenye kufikiria na mzuri na dada wa kushangaza kwa Natalia, Bianka na Kapri."
Vanessa Bryant aliendelea kwa kutuma salamu za rambi rambi kwa familia za wahathiriwa wengine saba kutoka jumapili.
Aliandika. "Tunashiriki huzuni yao kwa karibu. Hakuna maneno ya kutosha kuelezea maumivu yetu hivi sasa."
VANESA NA KOBE WALIONA MNAMO 2001
No comments