ONYO KWA MAWAKALA WANAOSAJILI LAINI KWA ALAMA ZA VIDOLE
TCRA yawaonya baadhi ya mawakala wa simu Kilimanjaro wanaosajili laini za simu kwa alama za vidole mitaani kuendelea kuwatoza wananchi fedha kiasi cha shilingi elfu moja kwa kila laini wakati agizo la serikali linawaelekeza kutoa huduma hiyo bure.
Usajili wa laini ni Bure mikoa yote usilipe hata mia
No comments