UTABIRI WA HALI YA NDOA 😂😂😱😵
UTABIRI WA HALI YA NDOA...... Wanaume watakuwa wakali kipindi cha Disemba mpaka mwanzoni mwa February😅😅😅😅😅😅 NA kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kutakuwa na vipindi virefu vya HASIRA & KUSONYA 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
_
Aidha ukanda wa ```Michepuko,``` hali haitakuwa shwari kwa sababu PESA hazitavuma kutoka mifukoni mwa wanaume.😢😢 Kiwango cha juu cha ```usaliti``` kitapungua na kufikia 0. 75% wakati chuki ndani ya ndoa ikiongezeka kufuatia uhaba wa pesa😀😀
_
💔 Utabiri huu wa hali ya Ndoa umeletwa kwenu na ```Mamlaka ya hali ya Ndoa nchini & kwa *`Hisani ya Watu wa KULEKULE MANANII...``*😄😀😀😁😁

No comments