NAJUTA KUZALIWA MWANAMKE 01


NAJUTA KUZALIWA MWANAMKE
(sehemu ya kwanza )
IMETUNGWA NA  Joshua shao

Ilikua majira ya asubuhi jesca akiwa na dada yake eliza wakiwa wanatoka dukani kununua vitu vya nyumbani ikiwa ni pamoja na madikodiko kwa ajili  ya mapishi ya wiki nzima,  wakiwa wanatembea ghafla walishtuka kuona gari likija mbele yao na kufunga breki ,,,jesca kwa hofu aliyokuwa nayo alidondosha mfuko aliokuwa ameubeba ,,dada yake alianza kumkoromea kwa ukali ``muone huyu  sasa , hivi mtu akikuuliza  unaogopa nini utamjibu nini,,,
Jesca kwa hofu alijibu ``dada moyo wangu hauna amani dada tuondoke hapa haraka ,dada tuondoke tafadhali ,,,,
Gari liliposimama  ,vioo vilishushwa taratibu kwa ndani alionekana mama mmoja mnene sana akiwa na vijana wawili pamoja na dereva ,mama Yule alisema
``msiogope jamani ,,samahani tunaomba kuuliza eti kwa  mzee kimangi ni wapi ?’’
Eliza dada yake na jesca alisogea karibu ili aweze kutoa maelezo kwani sehemu waliyokuwa wakiuliza alikua akiifahamu fika
Waswahili wanasema  ``wema unaweza kuponza mtu ‘’ eliza aliposogea  alikamatwa na njema wawili waliokuwa wamevalia miwani  nyeusi ,,kwa hofu kubwa alipiga kelele kwa nguvu ``mamaaaa  nauawaa wezi weziiiii ‘’
Majambazi wale walimpa onyo la mwisho na kumwambia  ukitoa tena sauti nyingine ndio kifo chako kinafuatia ,,jesca naye alishikiliwa na njemba mmoja ,,,eliza alikua ana fujo sana alipiga tena kelele kwa nguvu ``mamaaaaaaaa’’ kwa hasira mama Yule kibonge aliyekuwa ndani ya gari alitoa amri
``nyie wapuuzi mmeshindwa kazi  mtoeni uhai  huyu asitupotezee muda ‘’
Eliza akiwa ameshikiliwa  ghafla Visu vitatu vilizamishwa  tumboni mwa eliza ,,jesca mbele ya macho yake alimshuhudia dada yake akikata roho ,jesca alipotaka kupiga kelele  alihofu sana kwani alijua kitakachofuata ni kifo ,alijikausha huku akilia  moyoni
Mama kibonge aliamuru
``haya huyu mtupeni kwenye mtaro mshikeni huyu atatufaa  binti aliyebakia atatufaa sana kwa kazi zetu ‘’
Gari liliwashwa jesca alizibwa macho na mdomo ili asijeharibu hali ya hewa gari lilichapa mwendo
Upande wa pili wazazi wa jesca na eliza waliwaza sana kuchelewa kwa wanao ,ilipofika saa sita walibidi kuwatafuta kwa kumpigia eliza simu ,simu iliita bila mafanikio ,ndani ya dakika chache taarifa zilitapakaa kuwa mwili wa eliza umeonekana mtaroni ukiwa na majeraa ya visu tumboni ,mama mzazi wa eliza alidondoka chini na kuzimia  ilikua ni uchungu wa hali ya juu ,taarifa ziliwafikia polisi ,polisi walizunguka kila pande kumtafuta jesca ,walizunguka kila sehemu bila mafanikio
Upande wa pili jesca alifikishwa ndani ya jumba kubwa kisha aliwekwa juu ya sofa kubwa kisha alifunguliwa kitambaa usoni ,jesca kwa hofu alianza kutazama mazingira yale huku akiuliza
``hapa ni wapi jamani hapa ni wapi naomba mniue kwanini mnanichelewesha mmemuua dada yangu bila huruma’’
Mama Yule alijibu ``hahahahah tungekua tunataka kukuua tungekuua kwa pale tunachotaka tunataka usaidizi kutoka kwako sawa ‘’
Jesca hakujibu kitu alilia tu
Jesca aliachwa ndani ya jumba lile  kisha wote waliokuwa nae walitoka
Ilipofika jioni jesca alisikia mlango ukigongwa ,,,hakuweza wala kuitikia kwani hakuwa na raha wala tumaini lolote la kuishi alijua hapa ndio mwisho wa maisha yake
Binti mmoja aliingia akiwa ameshikilia bakuli yenye chakula alipofika karibu na jesca alimsalimu
``mambo’’
Jesca hakujibu ,bint Yule aliweka chakula juu ya meza iliyo mbele ya jesca kisha akaanza kumsemesha
``sikia dada usalama wako ni kukubaliana na hali wewe ukiwa hapa huwezi kujinasua kwa lolote fanya vyovyote vile kukubaliana na hali ,nakumbuka mimi nikiwa mdogo zaidi yako nililetwa hapa ,,na siku hiyo hiyo nilibakwa na wafanyakazi wa humu ndani tena niliingiliwa na wanaume watatu, wewe unajikuta unadeka kabla hujafanywa hata kitu badilika’’
Binti Yule alipomaliza kusema hayo aliondoka na kumwacha jesca
Taratibu jesca wazo lilimjia na kumwambia
``jesca wewe ni mwanamke pambana jifunge kibwebwe kubaliana na hali yoyote kuondoka hapa ‘’
Jesca alichukua chakula kile na kwa ugumu alianza kukila na hatimaye alikimaliza chote
Akili za jesca zilimtuma kutoroka sehemu ile ,hakujua ni wapi yupo ila alikua anatamani kutoroka tu kwani alijua akifanikiwa kutoka ndani ya sehemu ile lazima akutane na wazalendo watakao msaidia ,watu wema ,wapo tu duniani kote japo wachache
Jesca ni binti mdogo sana, kiumri ana miaka kumi na sita tu kimasomo ndio kwanza yupo kidato cha pili ,mwili wa jesca ulikua ni saizi ya kati hakuwa mnene wala mwembamba ,alikua na mwili ulichoreka vyema ,,,,mahips yake yalikua yamejichora vyema  katika mwili wake ,kifuani ndio usiseme chuchu zake zilikua zimesimama vyema sana ,alikua ni binti mbichi mbichi mwenye kila mvuto  ,,,,,,
Jesca alichungulia nje ya mjengo ule aliona kuna ukimya mkubwa ,alitembea akinyata kwenda nje ,akiwa anatembea alivuka vyumba kadhaa ,,alipokuwa akipita kwenye vyumba alisikia milio ya wasichana wakilia kwa uchungu jesca alijua wazi kabisa wasichana hao wanatumika kimapenzi bila  ridhaa yao ,jesca  kwa haraka alitembea kuelekea nje
Kabla hajafika nje alidakwa mkono na mlinzi wa getini
Jesca alihema kwa uoga kwa haraka alijikuta akipiga magoti na kusema
``kaka nisaidie nitoke hapa nitakupa chochote ukitakacho nisaidie tafadhali ,naomba kaka ‘’
Mlinzi alimtazama jesca kwa uchu sana akili za mlinzi zililala kwenye mwili wa jesca ,,,hakika umbile la jesca lilikua likivutia sana ,mwanaume rijali yoyote aliyemtazama jesca lazima ajikute amemtamani
Maneno ya jesca yaligonga kwenye akili ya mlinzi
``kaka nisaidie nitakupa lolote na chochote utakacho ‘’
Mlinzi alimvuta mkono jesca na kumwambia
``jesca mimi sitaki hela wala nini ukinipa penzi nakuruhusu uondoke hapa uko sawa ‘’
Jesca bila kusita alisema ``ndioooo’’
Jesca alikua ni mtoto wa geti kali hajawahi hata siku moja kukutana na mwanaume alilindwa sana na wazazi wake ila siku hiyo alijikuta akiitikia kwani alihofia kitakachoendelea pale
Mlinzi kwa haraka alimvuta jesca mkono na kumpeleka hadi mbali kabisa nje ya uzio
Alimwingiza kwenye kijumba Fulani ,,jesca alitulia tuli kwani alijua huu ndio usalama wake
Mlinzi alimparamia jesca kwa haraka mithili ya mtu amenyavyo ganda la ndizi ,baada ya kuzivua nguo zake alimwingilia jesca ,jesca alilia sana kwa uchungu kwani ndio mara yake ya kwanza kufanya tendo lile ,alijisikia vibaya sana ila kwa usalama wa maisha yake alikua radhi kugawa mwili wake ili apone
Baada ya nusu saa kuisha jesca alimwuliza mlinzi
``naomba unitoe tafadhali ‘’
Mlinzi alicheka ```hahahah nikutoe wapi hahaha ulishasikia mtu ameingia hapa na kutoka ‘’
Jesca hakuamini kitu mlinzi alichomfanyia ,,,,jesca alijisemea
``Mungu wangu nimejidhalilisha nimempa huyu hadi heshima yangu aninusuru ila matokeo yake ndio haya ,,’’
Mlinzi alisema
``wewe una dakika tano za kukaa hapa natakiwa kukurudisha ndani ‘’
Jesca kwa hasira aliinama chini na kuokota chupa ya bia iliyokuwa ukutani na kumpasulia mlinzi kichwani ,,mlinzi alishikwa na kizungu zungu na kudondoka chini
Jesca akiwa amesimama eneo hilo alisikia vishindo vya watu wakiwa wanakaribia ndani ya kijumba kile

Je nini kitaendelea
Share simulizi hii tuendelee ,,naomba usisome bila kushare ,,,share ,like na comment

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.