TANZIA!!!! MAMA MZAZI WA ERICK KABENDERA AFARIKI DUNIA
Mama mzazi wa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Desemba 31, Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Amefariki dunia ktk hospital ya amana Mara ya mwisho mama huyu alionekana hadharani akimwombea msamaha mwanae kwa rais magufuli
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia
Amefariki dunia ktk hospital ya amana Mara ya mwisho mama huyu alionekana hadharani akimwombea msamaha mwanae kwa rais magufuli
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia
No comments